Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) –Mashindano ya 62 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Malaysia yalianza rasmi Jumatano usiku katika mji mkuu wa Malaysia wa Kuala Lumpur.
Habari ID: 3475957 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/20
TEHRAN (IQNA)- Kasisi wa Kanisa la Koptik nchini Misri amehudhuria sherehe za kufunga mashindano ya kuhifadhi Qur'ani katika jimbo la Beheira nchini Misri.
Habari ID: 3475162 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24